Remembering Stella and The Events of May 17th, 1992.

0
2336

Today, May 17th, Kenyans, all over the world, are in a spate of hysteria. And for good reason, as they remember the calamity caused by Stella, a character popularized by musician Freshly Mwamburi. Here are the lyrics. And enjoy the song too!

Nilikua na mchumba wangu, tulipendana kama chama choma alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japani kusomea udakitari, Stella wangu ehhh.×2

Nilivyo mpenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja, nikauza shamba langu, sababu yake yeye, Nikauza gari langu, sababu yake yeye nikauza Ng’ombe na mbuzi sababu yake yeye, Ili apate nauli yake na pesa nyngine za matumizi kule Japani

Ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, ndiyo lokua tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya.

nilikwenda uwanja wa ndege kwenda kumlaki Stella, nilikua na uncle Kilinda uwanja wa ndege, Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wake, nilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluva, Nilikua na ndugu Afisi mtoto wa Mombasa, ghafla ndege lipotua uwanajani tuliona vituko, Stella alishuka amebeba mtoto mkononi, nyuma yake mchumba wake mfupi, futii nne Mjapani, Nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya Nilitamani nilie Kikamba lakini si kijui, ilibidii nilie Kijaluo” angatima ngo wachoa”, Freshley,

nilitamani nilie Kiindi lakini si kijui, ilini bidii nilie Kitaita lugha ya mama na baba, ilini bidii nilie Kitaiata, “beke mwana niponyebanda, Freshley”.

Nilikua na mchumba wangu, tulipendana kama chama choma alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japani kusomea udakitari, Stella wangu ehhh.×2

Nilivyo mpenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja, Nikauza shamba langu, sababu yake yeye, nikauza gari langu, sababu yake yeye, nikauza Ng’ombe na mbuzi sababu yake yeye, ili apate nauli yake na pesa nyngine za matumizi kule Japani.

Ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, Mwaka elfu moja tisamia tisaini na mbili, ndiyo lokua tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya,

Nilikwenda uwanja wa ndege kwenda kumlaki Stella, nilikua na uncle Kilinda uwnaja wa ndege, Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wake, nilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluva, Nilikua na ndugu Afisi mtoto wa Mombasa, ghafla ndege lipotua uwanajani nliona vituko.

Stella alishuka amebeba mtoto mikononi, nyuma yake mchumba wake mfupi, futii nee Mjaipani, Nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya Nilitamani nilie Kikamba lakini si kijui, ilibidii nilie Kijaluo” angatima ngo wauchoa”, Freshley.

Nilitamani nilie Kiindi lakini si kijui, ikani bidii nilie Kitaita lugha ya mama na baba, ilini bidii nilie Kitaiata, “beke mwana niponyebanda, Freshley”.

Iyooo, yoo, yoo, yoo, I love you Stella mami×2 Come back, come back Stella I still need you baby Nikwendetete nyama kuivivya

Stella kindu wakwa, Nikwendetete nyama kuvivya, ya kuvulania na kachumbari, Ukava kuvi nakwa Stella, linda unguune kisi, ukava kuvi nakwa Stella linda unguune kisi,

Nakupenda kama choma Stella mpenzi wangu, nakupenda kama nyama choma Stella mpenzi wakwa Ukava kuvi nakwa Stella linda unguune kisi, Nikwendetete nyama kuvivya, ya kuvulania na kachumbari Come back, come back Stella I still need you baby×2 Kwanini kunichenga chenga hivyo Stella kama mpira uwanjani×3

Comments

comments